RASHFORD NDANI, DRINKWATER, TOWNSHEND NA DELPH NJE KIKOSI CHA MWISHO ENGLAND

Kocha wa England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoiwakilisha England katika michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa.


Katika kikosi hicho cha England jina la kijana mwenye miaka 18 Marcus Rashford limetajwa pia baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa na Manchester United huku akiwaacha Fabien Delph, Danny Drinkwater na Andros Townsend.

Mshmbuliaji Daniel Sturadge ambaye alikua na majeruhi ya muda mrefu amejumuishwa pia katika kikosi hicho ambacho Alhamis kitacheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Ureno katika mechi ya kirafiki katika dimba la Wembley kabla ya kuelekea Ufaransa ambapo watacheza mechi yao ya ya kwanza dhidi ya Russia tarehe 11 jijini Marseille.

KIKOSI KAMILI

Goalkeepers:
 Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Southampton), Tom Heaton (Burnley).

Defenders:
Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Everton), Kyle Walker (Tottenham Hotspur), Ryan Bertrand (Southampton), Danny Rose (Tottenham Hotspur), Nathaniel Clyne (Liverpool).

Midfielders:
Dele Alli (Tottenham Hotspur), Ross Barkley (Everton), Eric Dier (Tottenham Hotspur), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Liverpool), James Milner (Liverpool), Raheem Sterling (Manchester City), Jack Wilshere (Arsenal).

Strikers:
 Wayne Rooney (Manchester United), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Jamie Vardy (Leicester City), Daniel Sturridge (Liverpool), Marcus Rashford (Manchester United).

No comments

Powered by Blogger.