CHELSEA YAMTAMBULISHA ALEXANDRE PATO

Hatimaye  klabu ya  Chelsea imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Corinthians ya Brazil Alexandre Pato




Mbele ya waandishi  wa habari Pato alisaini mkataba  wa mkopo  wa miezi sita  ukiwa  na  kipengele cha kuongeza muda baada ya mkopo  wake kumalizika

Pato atajiunga na Chelsea kama mshambuliaji wa nne miongoni mwa washambuliaji  wa Chelsea klabuni hapo. Atakua akigombania  namba na Diego Costa, Loic Remy na Radamel Falcao.


No comments

Powered by Blogger.