FULL TIME: MATOKEO YA MECHI ZOTE EPL (VIDEO HIGHLIGHTS)

Ligi kuu nchini Uingereza imeendeleo kwa michezo kadha huku ikishuhudia Man city wakipigwa goli 2 na Stoke City, magoli ya Stoke City yalifungwa na Marko Arnautovic dakika ya 7 na 15. Majirani wao Man UTD wametoka sare ya bila kufungana na Westham UTD.



Jiji London, Arsenal imeondoka na ushindi wa goli 3 kwa 1 dhidi ya Sunderland na kupaa hadi nafasi ya pili ya msimamo wa Ligi. Magoli ya Arsenal yalifungwa na J Campbell (33),O Giroud (63),A Ramsey (90+3) na lile la Sunderland lilipatikana kwa Giroud kujifunga


MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO HAYA HAPA



HIGHLIGHS ZA MECHI ZA LEO

Stoke 2- 0 Man CTY


Arsenal 3- 1 Sunderland


Swansea 0 - 3 Leicester City


Westbrom 1 - 1 Totenham


Man UTD 0 - 0 Westham


Watford 2 - 0 Norwich

No comments

Powered by Blogger.