CHELSEA HOI, YACHAPWA NYUMBANI NA BOURNEMOUTH (VIDEO + PICHA)

Mzimu wa kupoteza mechi bado umeweka kambi katika daraja la Stanford. Hali hii imeendelea leo hii ambapo tumeshuhudia Chelsea ikipoteza tena mchezo wa leo iliokuwa inacheza na Klabu iliyopanda ligi kuu msimu huu Bournemouth.


Chelsea imefungwa goli hilo baada ya Glenn Murray kutumia nafasi waliyoipata baada ya mabeki wa Chelsea kujichanganya na kushindwa kuokoa mpira wa kona uliopigwa dakika ya 82.

ANGALIA VIDEO YA MECHI HIYO

Chelsea 0 - 1 Bournemouth



Habari katika picha



No comments

Powered by Blogger.