UPAMBE WA KAIJAGE KWENYE HARUSI YA KISPANYOLA, ZURICH. SEHEMU YA PILI (2)

One man band: Iniesta charges at the Italian defence during the Euro 2012 group game in Gdansk. He was named Player of the Tournament after guiding Spain to their third successive major tournament winUkafika muda wa kamati kupitia na kusikiliza sifa za kila mwanaume kabla ya kupiga kura. Kamati ikawa na shauku ni dume gani litakua la kwanza kuingia kumwaga sera zake.. Mara ghafla akajitokeza kijana mtanashati,mwenye mvuto,kipenzi cha mabinti wa spain nyuma ya gutti na ramos.. Kijana huyu alizaliwa miaka 28 iliyopita na wazazi wa kispanyola maria na Jose antontio. Dume ili lilizaliwa kwenye kitongoji cha fuentebila kwenye mji mdogo wa la mancha.Cha ajabu Mzee Jose Antonio alikua mchezaji wa mpira ya timu ya lidhaa mjini fuentebila iliyokua ikiitwa denies fc. Alipata kucheza denies mnamo miaka ya 1960's kabla ya kutundika daruga. Akajikita kwenye biashara ya kuuza vinywaji kwenye bar maarufu iliyokua kwenye kitongoji cha fu
entebila. Bar hyo ilikua ikiitwa lujan pub. Lujan pub ilikua ikimilikiwa na mzee lujan baba mzazi wa jose antonio. Mzee lujan umri ukamtupa mkono na kuwaachia watoto wake wawili wa kiume Jose antonio na kaka yake.,waendelee kusukuma gurudumu la lujan pub. Familia ya mzee lujan macho yao yote yalikua yanatazama lujan pub kama mkombozi pekee wa maisha yao.. Mwanzoni mwa miaka ya 1980's Antonio reyes akapata mwanamama aliyejulikana kwa jina moja la Maria. Mnamo mwaka 1984 wakapata mtoto wa kiume aliyejulikana kwa jina la Andres Iniesta Lujan.. Hyo ilikua miaka 9 tangu lujan pub izaliwe.. Kaya ya lujan ikawa na jumla ya watu nane baada ya kuzaliwa kwa dada wa iniesta aitwaye Maribel.. Jose antonio kama kiongozi wa familia akapanga zamu ya kila mwana familia kukaa counter pale lujan pub.. Lakin ilipokua inafika zamu ya andres, muda huo tayari alikua alishafika kwenye viwanja vya la mancha.. Mzee jose antonio alitumia maneno yote ya kamusi ya kispanyola kumkanya juu ya ukaidi wake.. Lakini bahati mbaya alikua akimpigia mbuz gitaa. Ndo kwanza mjukuu wa lujan akasajiliwa kwenye timu ya vijana ya albacete iliyopo mjini fuentabila.. Mzee antonio akapingana na matamanio yake kwa ajili ya kutimiza hatma ya mtoto wake pekee wa kiume.. Andres alipofika umri wa miaka 12,wazaz wake wakampeleka kwenye kituo cha soka cha la masia mjini barcelona. Huu ndo ulikua mwanzo wa mafanikio ya mjukuu wa lujan.. Andres iniesta amecheza kwenye timu zote za taifa. Mpaka kufikia kipindi hiki andres iniesta mwenye kilo 65 tu zinazowalambisha majani viungo wengi ulaya, amepata mafanikio mengi ya kukumbukwa kwenye timu ya taifa na club yake ya fc Barcelona.. 2achane na mavi ya kale.. Je andres alifanya nini ndani ya mwaka huu mpaka awe na sifa ya kua bwana harusi mnamo january kwenye mji wa zurichPuppet-master: Iniesta still manages to get his pass away despite the attentions of Markel Bergara Larranaga (left) and Asier Illamendi in Barcelona's opening La Liga game with Real Sociedad




 
Mafanikio ya Andres Iniesta mwaka 2011/12  
 BARCELONA- Copa del rey
                            Spanish supa copa 
                            8 Goals and 7 Assists.
SPAIN- Uefa European Champions
             2 goals, 2 assists
 
INDIVIDUAL-Best player of the tournament Uefa European Champions 
                         Europe best player             

1 comment:

  1. Allen hivi unadhani huyu jamaa atashinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia kwa hizi rekodi za Messi?

    ReplyDelete

Powered by Blogger.