KUTINYU AMFUATA PLUIJM AZAM FC.
Hatimaye aliyekua shambuliaji nyota wa Singida United ya Singida, Tafadzwa Kutinyu ametia saini kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia matajiri wa jiji la Dar es Salaam Azam FC.
Kutinyu anakua mchezaji wa pili kusajiliwa na Azam baada ya Donald Ngoma na wote ni raia wa Zimbabwe ambao kwa nyakati tofauti waliwahi kufundishwa na kocha mpya wa Azam FC Hans Van der Pluijm.
Inaelezwa kuwa baada ya kusaini mkataba huo, Kutinyu amepewa mapumziko ya mwezi mmoja na atatakiwa kuripoti mnamo Julai 3 kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2018/19

No comments