KIKOSI CHA MISRI KOMBE LA DUNIA, SALAH YUMO.

Kimetangazwa kikosi cha mwisho cha Misri ambacho kitashiriki fainali za kombe la dunia huko Urusi. Mshambuliaji wa Liverpool aliye majeruhi wa bega amejumuishwa katika kikosi hicho.

Orodha kamili ni kama ifuatavyo;

Magolikipa: Essam El Hadary (Al Taawoun), Mohamed El-Shennawy (Al Ahly), Sherif Ekramy (Al Ahly).

Walinzi: Ahmed Fathi, Saad Samir, Ayman Ashraf (all Al Ahly), Mahmoud Hamdy (Zamalek), Mohamed Abdel-Shafy (Al Fateh), Ahmed Hegazi (West Brom), Ali Gabr (Zamalek), Ahmed Elmohamady (Aston Villa), Omar Gaber (Los Angeles FC).

Viungo: Tarek Hamed, (Zamalek), Shikabala (Zamalek), Abdallah Said (Al Ahli), Sam Morsy (Wigan Athletic), Mohamed Elneny (Arsenal), Mahmoud Kahraba (Al Ittihad), Ramadan Sobhi (Stoke City), Mahmoud Hassan (Kasimpasa), Amr Warda (Atromitos Athens).

Washambuliaji: Marwan Mohsen (Al Ahly), Mohamed Salah (Liverpool)

No comments

Powered by Blogger.