BENTEKE ATEMWA KIKOSI CHA UBELGIJI KOMBE LA DUNIA.
Mshambuliaji Christian Benteke wa Crystal Palace si mmoja kati ya tutakaowaona katika fainali za kombe la dunia huko Urusi kwani hayumo katika orodha ya wachezaji 23 waliotangazwa kuiwakilisha Ubelgiji katika michuano hiyo.
Mlinzi wa Manchester City Vincent Kompany amejumuishwa katika kikosi hicho licha ya kusumbuliwa na majeraha.
Orodha kamili ya wachezaji 23 wa Ubelgiji hii hapa;
Magolikipa: Koen Casteels (Wolfsburg), Thibaut Courtois (Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool)
Walinzi: Toby Alderweireld (Tottenham), Dedryck Boyata (Celtic), Leander Dendoncker (Anderlecht), Vincent Kompany (Manchester City), Thomas Meunier (Paris Saint-Germain), Thomas Vermaelen (Barcelona), Jan Vertonghen (Tottenham)
Viungo: Mousa Dembele (Tottenham), Yannick Carrasco (Dalian Yifang), Nacer Chadli (West Brom), Kevin De Bruyne (Manchester City), Marouane Fellaini (Manchester United), Eden Hazard (Chelsea), Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach), Adnan Januzaj (Real Sociedad), Youri Tielemans (Monaco), Axel Witsel (Tianjin Quanjian)
Washambuliaji: Michy Batshuayi (Borussia Dortmund), Romelu Lukaku (Manchester United), Dries Mertens (Napoli)

No comments