23 WA UJERUMANI KOMBE LA DUNIA HAWA HAPA, SANE NJE.
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low ametangaza kikosi cha wachezaji 23 ambao wataliwakilisha taifa hilo kutoka kwenye orodha ya wachezaji 27 aliowatangaza awali.
Nyota wa Manchester City Leroy Sane ameachwa nje ya kikosi pamoja na Bernd Leno na Jonathan Tah wa Bayer Liverkusen.
Kikosi hicho cha Ujerumani kipo kama ifuatavyo;
Magolikipa: Manuel Neuer (Bayern Munich), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona), Kevin Trapp (Paris St-Germain)
Walinzi: Jerome Boateng (Bayern Munich), Matthias Ginter (Borussia Monchengladbach), Jonas Hector (Cologne), Mats Hummels (Bayern Munich), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Marvin Plattenhardt (Hertha Berlin), Antonio Rudiger (Chelsea), Niklas Sule (Bayern Munich)
Viungo: Julian Brandt (Bayer Leverkusen), Julian Draxler (Paris St-Germain), Leon Goretska (Schalke), Ilkay Gundogan (Manchester City), Sami Khedira (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid), Mesut Ozil (Arsenal), Sebastian Rudy (Bayern Munich)
Washambuliaji: Mario Gomez (Stuttgart), Thomas Muller (Bayern Munich), Marco Reus (Borussia Dortmund), Timo Werner (RB Leipzig)

No comments