WANACHAMA SIMBA SC KUKUTANA KWA DHARURA TAREHE 20.
Uongozi wa Vinara wa ligi kuu Soka Tanzania bara wekundu wa Msimbazi Simba umetangaza mkutano wa dharula wa wanachama wote.
Barua Kwa Vyombo vya Habari ambayo www.wapendasoka.Com tumepata nakala yale ikiwa imesainiwa na Kaimu Rais wa Klabu hiyo Kongwe nchini Bwana Salim Abdallah maarufu kama Try Again inaeleza kwamba mkutano huo wa wanachama wote umepangwa kufanyika Dar es Salaam Tarehe 20 Mwezi huu Mei katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere ulioko Maeneo ya Ocean Road.
Agenda kuu ya mkutano huo imeelezwa kwamba ni Mabadiliko ya Katiba ya klabu hiyo Ikiwa ni mwendelezo wa juhudi za kuifanya klabu hiyo kuingia katika mfumo wa hisa.
Mkutano huo umepangwa kuanza majira ya saa 3 Kamili asubuhi na Agenda zingine zikitarajiwa kupelekwa Kwa wanachama siku chache zijazo.

No comments