KIKOSI CHA SAMATTA KITAKACHOCHEZA NA TEAM KIBA


Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ataungana na kampani ya marafiki zake kuunda timu moja ya soka ambayo itapambana na timu ya mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Ali Kiba mnamo Juni 9 mwaka huu katika uwanja wa taifa.

Tumeipata orodha ya awali ya wachezaji watakaounda kikosi cha Samatta ambacho kina majina makubwa katika soka wakiwemo Juma Kaseja, Thomas Ulimwengu na nahodha wa zamani wa TP Mazembe, Tressor Mputu.

Orodha hiyo ya awali ipo kama ifuatavyo;

Juma Kaseja
Kabaly Faraji
Shomari Kapombe
Mohammed Hussein
Kelvin Yondani
Nadir Haroub
Athumani Iddi
Haruna Shamte
Mohammed Samatta
Tresor Mputu
Thomas Ulimwengu
Farid Musa
Haruna Moshi
Amri Kiemba
Athumani Machupa
Henry Joseph
Rashid Gumbo
Mrisho Ngassa
Sultan Kaskas
Saleh Jembe
Shaffih Dauda
Mbwana Samatta

Mapato yatakayopatikana katika mchezo huo yataenda kwenye maendeleo ya elimu nchi kwa kuchangia vifaa, ujenzi na miundombinu mashuleni.

No comments

Powered by Blogger.