KIKOSI CHA AWALI CHA ALI KIBA KITAKACHOCHEZA DHIDI YA TEAM SAMATTA
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba anafahamika kwa kuwa na kipaji kingine kikubwa cha kusakata soka. Pengine kipaji hicho kimefika hatua ya kuonekana pakubwa kwani Kiba akiwa na kampani ya rafiki zake wataunda timu ya soka itakayovaana na ile ya Mbwana Samatta katika mchezo maalum wa hisani utakaochezwa mnamo Juni 9 katika uwanja wa taifa.
Tayari tumeipata orodha ya awali ya wachezaji watakaoambatana na Ali Kiba ikiwa na nyota kama Emmanuel Okwi, Saimon Msuva na Abdi Banda.
Orodha hiyo ipo kama ifuatavyo;
Shaaban Kado
Aishi Manula
Gadiel Michael
Said Ndemla
Adam Salamba
Alli Kiba
Paul Nonga
Abdul Kiba
Himid Mao
Agrey Moris
Ibrahim Ajibu
Haruna Niyonzima
Abdi Kassim
Emmanuel Okwi
Abdi Banda
Simon Msuva
Shaban Kisiga
Uhuru Seleman
Ramadhan Chombo
Mapato yatakayopatikana katika mchezo huo yataenda kwenye maendeleo ya elimu kwa kuchangia vifaa, ujenzi na miundombinu mashuleni
No comments