FULHAM YAREJEA LIGI KUU YA ENGLAND, JOHN TERRY ACHEMKA
Ushindi wa goli 1-0 pekee walioupata Fulham katika mechi yao ya fainali dhidi ya Aston Villa imeirejesha klabu hiyo katika ligi kuu Soka nchini England na kuungana na Wolves na Cardiff kucheza ligi hiyo msimu ujao.
Fulham vs Aston Villa moja kati ya fainali ghali zaidi katika soka duniani ambayo bingwa wake anaibuka na kiasi cha paundi milioni 146 Ikiwa ni pamoja na kupanda. daraja ilichezwa katika dimba la Wembley jijini London.
Goli pekee la Fulham lilifungwa na Nahodha wao Tom Cairney katika mechi ambayo ilimalizika Fulham wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao mmoja Denis Odoi baada ya kupata kadi mbili za njano.
Nahodha wa zamani wa England na Chelsea anayeichezea Aston Villa John Terry ameshindwa kutimiza ndoto yake ya kuipandisha Villa klabu inayopendwa zaidi na familia ya Kifalme nchini England

![]() |
Mfungaji wa goli la Fulham Tom Cairney |

No comments