MKWASA AITISHA MKUTANO MKUU YANGA
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa
ameitisha mkutano mkuu wa klabu yanga na wanachama wake utakaofanyika mei 5.
Mkwasa amesema kikao cha kamati ya utendaji cha
klabu ya Yanga kilichoketi siku ya Jumamosi kimefikia maamuzi hayo ya kuitisha
mkutano mkuu wa wanachama utakaofanyika ndani ya mwezi mei.
Kadi zote za wanachama za zamani na mpya zitatumika
kinachopaswa ni kia mwanachama kulipa Ada yake ya uanacham kwa wakati ili
kuweza kushirki mkutano huo aliseme Mkwasa
Klabu ya Yanga inaelekea kufanya mabadiliko ya mfumo
wa uendeshaji kutoka kwa wanachama na huenda katika mkutano huo ikwa moja ya
Ajenda
No comments