N'GOLO KANTE AREJEA MAZOEZINI CHELSEA
Habari njema Kwa mashabiki wa Chelsea na habari mbaya Kwa mashabiki wapinzani wa Chelsea kwani kiungo mkabaji N'holo Kante amerejea mazoezini baada ya kukosekana Kwa takribani wiki 3.
N'golo Kante aliumia wakati akiitumikia timu yake ya Taifa ya Ufaransa na kumfanya kukosa nafasi ya kuitumikia Chelsea katika michezo mbalimbali na kupelekea klabu hiyo ambao ni Mabingwa watetezi wa ligi kuu Soka nchini England kufungwa bao 8 Katika michezo minne.
Kurejea Kwa kiungo huyo kunampa ahuweni kocha Antonio Konte wakati akijiandaa na pambano la marudiano dhidi ya AS Roma ugenini kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya pia mchezo dhidi ya Manchester United katika ligi kuu ya England.
Wiki end hii Chelsea itacheza dhidi ya AFC BOURNEMOUTH lakini hakuna uhakika kama Kante ataweza kucheza kwenye mechi hiyo kwani ameanza mazoezi tu leo.

No comments