MATUKIO KWA PICHA: SINGIDA UNITED WALIVOTEMBELEA OFISI ZA YARA
Klabu ya Singida United Fc hii leo imewatembelea
wadhamini wao, kampuni ya nambari one Duniani kwa uzalishaji wa mbolea ya YARA.
Ziara hiyo ilihusisha pia kutembelea shule ya
sekondari ya Kurasini na kupanda miti, kutoa mifuko ya Cement kwajili ya ujenzi
wa vyoo vya wanafunzi.
Tumekuekea hapa matukio kwa picha




No comments