MATOKEO NA WAFUNGAJI MECHI ZA JANA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA
Mechi 8 zilichezwa jana kukamilisha hatua ya pili katika mechi za hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya huku jumla ya magoli 25 yakifungwa katika viwanja mbalimbali barani Humo.
Kama Ilivyo kawaida www.wapendasoka.com Tumekuwekea hapa Matokeo na wafungaji katika mechi za jana pamoja na dakika za magoli hayo kama hukupata wasaa wa kuzitazama
GROUP A
FC Basel 5-0 Benfica- Michael Lang (2')
- Dimitri Oberlin (20',69')
- Ricky van Wolfswinkel (60')
- Blas Riveros (76')
CSKA Moscow 1-4 Manchester United
- Romelu Lukaku (4',27')
- Antony Martial (19')
- Henrik Mkhitaryan (57')
- Konstantin Kuchaev (90')
GROUP B
Anderlecht 0-3 Celtic- Leigh Griffiths (38')
- Patrick Roberts (50')
- Scott Sinclair (90')
PSG 3-0 Bayern Munich
- Daniel Alves (2')
- Edinson Cavani (31')
- Neymar (63')
GROUP C
Qarabag FK 1-2 AS Roma- Konstantinos Manolas (7')
- Edin Dzeko (15')
- Pedro Henrique (28')
Atletico Madrid 1-2 Chelsea
- Antoine Griezman (40')P
- Alvaro Morata (60')
- Michy Batshuayi (90')
GROUP D
Juventus 2-0 Olympiacos- Gonzalo Higuain (69')
- Mario Mandzukic (80')
Sporting Lisbon 0-1 Barcelona
- Sebastian Coates (49')
No comments