HIKI HAPA KIKOSI CHA MAN UNITED KATIKA LIGI YA MABINGWA MSIMU HUU


Mabingwa wa Europa League klabu ya Manchester United imeanika kikosi chake kitakachoshiriki kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya ikijumuisha wachezaji wote waliobaki klabuni hapo baada ya dirisha la usajili kufungwa wiki iliyopita na tayari majina yamepelekwa katika shirikisho la soka barani Ulaya UEFA.

KIKOSI KAMILI

Manchester United Champions League squad:

Makipa:
David De Gea, Sergio Romero

Mabeki:
 Antonio Valencia, Eric Bailly, Chriss Smalling, Philly Jones, Victor Lindelof, Marcos Rojo, Daley Blind, Mateo Darmian, Luke Shaw

Viungo:
Paul Pogba, Ander Herrera, Nemanja Matic, Maroane Fellaini, Michael Carrick, Ashley Young, Jesse Lingard.

Washambuliaji:
Henrik Mkhitaryan, Juan Mata, Antony Martial, Romelu Lukaku, Zlatan Ibrahimovic, James Wilson

WANAOINGIA KAMA U20:
 Joel Pereira, Tuanzebe, McTominay, Marcus Rashford

No comments

Powered by Blogger.