HABARI KUU KATIKA KURASA ZA MICHEZO KWENYE MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBA 22

Karibu tuangalie kwa pamoja habari kuu zilizoandikwa katika magazeti ya michezo na kurasa za michezo za magazeti mengine siku ya leo hapa Tanzania.
Kwa habari zaidi za soka la Nyumbani,Picha zenye ubora kutoka katika viwanja mbalimbali usisite kutufatilia hapa pamoja na kwenye mitandao ya Jamii Facebook,Twitter na Instagram tafuta Wapenda Soka Tanzania.
















1 comment:

  1. Nice ila magazeti yetu bongo wana kazi kubwa kufanya habari zao ziko soo obvious yani na mitandao ya jamii ilivyo sasa magazeti yanapaswa kuwa na habari tofauti.
    mfano magazeti yote leo yametoa matokeo ya Simba wakati tayari watu wanayafahamu ilipaswa waandishi kwenda extra miles na kuandika japo maoni ya makocha au wachezaji au hata mashabiki baada ya sare ya bao 2-2 ya Simba na Mbao hii inampa msomaji kitu cha ziada cha kushawishika kuisoma ambapo ndani atakutana na matokeo ya mchezo huo.
    Am sure watu wengi wanasoma heading tu na hawasomi habari husika.

    ReplyDelete

Powered by Blogger.