VODACOM YAMWAGA VIFAA KWA TIMU ZA LIGI KUU BARA
![]() |
MKURUGENZI IDARA YA MASOKO VODACOM HISHAM HENDI |
Akikabidhi vifaa hivyo Mkurugenzi wa idara ya masoko na usambazaji wa kampuni hiyo, Hisham Hendi, alisema kuwa kwa Mara nyingine tena katika kuhakikisha ligi ya Soka nchini inaenda vizuri Vodacom inakabidhi vifaa mbalimbali vya ligi ambavyo ni jezi mbalimbali, vitu vya mazoezi na mechi, soksi, vilinda ugoko, nguo za mazoezi nguo za kawaida, gloves na vifaa vingine vinavyohitajika. Tunajiskia Furaha kukabidhi vifaa hivi siku ya leo tukiwa tunatekeleza matakwa ya Mkataba wa udhamini matumaini timu zimejiandaa vya Kutisha kwa msimu mpya wa 2017-2018
![]() |
MTENDAJI MKUU WA BODI YA LIGI WAMBURA |
Nate ofisa Mtendaji Mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura Alishukuru hiyo na kuzitaka klabu zinazoshiriki ligi hiyo kuheshimu chapa ya mda mini wakati wote wa mechi za ligi "
Aliongeza TFF isingependa Kutumia kanuni na sheria kuadhibu klabu inayokwenda kinyume Bali kila klabu izingatie masharti ya mdhamini kama ambayo anavyotimiza haki yake ya kuwapatia vifaa
Alisema ligi ya Mwaka huu itakuwa bora kutokana na maandalizi yote kukamilika mapema pia Timu zitakazoshiki zimejiandaa vya Kutisha kuhakikisha ligi unakuwa na msisimko na ushindani mkubwa
![]() |
JEZI ZA YANGA |
![]() |
JEZI ZA SIMBA |
No comments