SIMBA NA YANGA KUFUNGUA MSIMU MPYA AGOSTI 23: RATIBA YAWEKWA HADHARANI
Wakati maandalizi ya Msimu Mpya wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara yakishika kasi Bodi ya Ligi leo imetoa Ratiba yake kamili ambayo inaonyesha Msimu mpya wa 2017/2018 unatarajiwa kuanza Tarehe 26 Agost 2017.
Kabla ya kuanza kwa msimu huo wa ligi Utachezwa mchezo wa Ngao Ya Hisani ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Ligi hiyo ukizikutananisha Simba ambao ni mabingwa wa kombe la FA na Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi kuu Msimu uliopita.
Hii ni Mara ya kwanza kwa ngao ya Hisani kukutanisha wakongwe hao wa lsoka la Tanzania Tangu iliporudishwa Michuano ya Kombe la FA ukitarajiwa kuwa mchezo mkali baada ya timu zote kufanya usajili wa maana.
Katika Ratiba ya msimu Ujao wa Ligi hiyo mzunguko wa kwanza Unaonyesha Simba na Yanga zitakutana tena katika ligi Oktoba 14 siku ya Nyerere ukiwa ni mchezo wa kwanza baina ya timu hizo katika ligi msimu mpya wa 2017/2018.
Ratiba hiyo Inaonyesha Wekundu wa Msimbazi Simba watafungua dimba dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Taifa Dar es salaam wakati Azam FC wao watakua Mtwara kucheza dhidi ya Ndanda huku Yanga wakicheza siku moja baadae dhidi ya Lipuli timu ngeni katika ligi kuu msimu huu.

Tumekuwekea hapa mzunguko wa kwanza wa Ligi kuu
Vodacom Tanzania bara
Jumamosi 23, Agosti 2017
Yanga vs Simba
Jumamosi 26, Agosti 2017
Ndanda vs Azam
Mwadui vs Singida
Simba Vs Ruvu Shooting
Kagera vs Mbao
Njombe Vs Prison
Mbeya Vs Majimjai
Jumapili 27, Agosti 2017
Yanga vs Lipuli

No comments