KESI YA MALINZI NA MWESIGWA YAPIGWA TENA KALENDA WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF, Jamal Malinzi, katibu Mwesigwa Selestine na mhasibu Nsiande Isawafo leo wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambako mashtaka yao yabutakatishaji fedha yamesomwa.

Watuhumiwa hao wamerudishwa rumande baada ya kesi yao kuahirishwa tena hadi Agosti 11, mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika ikiwa ni siku moja kabla ya Uchaguzi mkuu wa Shirikisho hilo uliopangwa kufanyika Agosti 12 mwaka huu mjini Dodoma.


No comments

Powered by Blogger.