
Wayne Rooney ameanza rasmi Mazoezi leo na klabu yake mpya ya Everton kufuatia uhamisho wake kujiunga na klabu hiyo akitokea Manchester united
Everton wanajiandaa kwaajili ya msimu mpya na Wiki hii watakua Jijini Dar es Salaam kucheza dhidi ya Gor Mahia ya Kenya Siku ya Alhamisi
No comments