CONTE AONGOZA MAZOEZI YA MABINGWA CHELSEA WAKIJIANDAA NA MSIMU MPYA
Mabingwa wa Ligi kuu ya England klabu ya Chelsea Imerejea mazoezini leo tayari kwaajili ya msimu mpya wa ligi kuu ya England na mashindando mbalimbali yanayoikabili.
Katika viwanja vya mazoezi vya Chelsea maarufu kama Cobham kikosi hicho kikiongozwa na kocha mkuu Antonio Conte wachezaji maarufu na wale ambao wanachipukia.
Gary Cahil, David Luiz, Pedro na Willian ni kati ya wakali walioonekana wakifanya mazoezi sambamba na vijana kama Lucas Piazon,Andreas Christensen, Jake Clarke-Salter na Kenneth Ommeruo.
Eden Hazard naye alikuwepo Cobham lakini alifanya mazoezi peke yake akiendelea kurudi baada ya kuumia enka.
No comments