HIVI NDIVYO ARSENAL WALIVYOJIACHIA KWENYE NDEGE KUELEKEA AUSTRALIA (+PICHA)
Arsenal Jana waliondoka Jijini London kuelekea Australia tayari kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wea ligi kuu ya england na michunao ya europa League ikiwa na kikosi chake chote isipokua Alexis Sanchez ambaye atachelewa kujiunga na wenzake kutokana na majukumu ya Timu ya Taifa.
Wakiwa Australia Arsenal watacheza mechi Mbili kabla ya kuelekea China ambako watacheza mechi mbili kabla ya kurejea London kucheza katika mashindano ya Emirates
HII HAPA RATIBA KAMILI YA MECHI ZA MAANDALIZI ZA ARSENAL
No comments