 |
| Wayne Rooney |
Klabu ya Everton ya England inaingia Tanzania Asubuhi hii ikiwa na kikosi kamili kwaajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Mabingwa wa Sportpesa Klabu ya Gormahia ya Kenya pambano litakalopigwa uwanja wa Taifa Kesho Jioni.
Nahodha wa zamani wa Manchester united na England Wayne Rooney ni Mmoja wa nyota walio katika safari hiyo ambayo imejumuisha nyota wote wa Everton kasoro Rose Barkley ambaye inasemekana anaweza kuuzwa.
 |
| Beki Ashley williams |
Hivi ndivyo wachezaji hao walivyoonekana uwanja wa ndege jijini Liverpool tayari kwa safari ya kuja Tanzania huku Tanzania ikipata nafasi ya kuandikwa sana na vyombo vya habari vya kimataifa kufuatia ujio huu wa wanandinga hao ambao wengi tumekua tukiwashuhudia kwenye Luninga.
 |
| Ronald Koeman-Kocha wa everton |
Karibu jembe Wayne Rooney
ReplyDelete