BARCELONA KUCHEZA NA CHAPECOENSE KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA NDEGE

Barcelona will host grief-stricken Brazilian club Chapecoense in the Joan Gamper Trophy

Klabu ya Barcelona itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya klabu ya Chapecoense ya Brazil ambayo miezi kadhaa iliyopita ilipoteza wachezaji na viongozi katika ajali ya Ndege.

Mechi hiyo itachezwa katika dimba la Nou Camp tarehe 7 Agosti ikiwa ni mechi maalumu ya kuwakumbuka watu 71 waliokufa katika ajali hiyo ya ndege wakiwemo wachezaji 19 wa klabu hiyo ajali iliyotokea Novemba 28 mwaka jana.

No comments

Powered by Blogger.