BARCELONA WAMALIZANA NA COUNTINHO WA LIVERPOOL
Habari toka nchini Spain zinamtaja kiungo wa kimataifa wa Brazil anayeichezea Liverpool Philippe Coutinho amekubali kujiunga na klabu ya Barcelona ya Spain katika usajili ujao wa majira ya Kiangazi.
Coutinho ambaye amefunga mabao 10 katika mechi 27 za ligi msimu huu akiwa na Liverpool amekua akihusishwa na kujiunga na miamba hao wa Catalunya kutokana na kuonyesha kiwango bora akiwa na kocha Juggen Klopp.

Gazeti la Michezo la SPORT ambalo makao makuu yake ni Barcelona ndilo lililoripoti taarifa za kiungo huyo kukubaliana na Barcelona japokua bado mazungumzo hayajawa rasmi huku kiasi cha paundi milion 76 zikitajwa kama pesa zinazotakiwa na Liverpool ili kumruhusu mchezaji huyo.
Kama usajili huo utakamilika basi Coutinho mwenye miaka 24 atakua mchezaji wa wa nne katika historia ya wachezaji Ghali zaidi baada ya Paul Pogba (£89.3), Gareth Bale (£85.3) na Cristiano Ronaldo (£80).

No comments