BAADA YA RONALDO "KUITEKA DUNIA JANA" MCHEZAJI GANI ATAKUA GUMZO USIKU HUU MONACO VS JUVENTUS


Cristiano Ronaldo jana alifunga mabao yote matatu wakati Real Madrid wakiifunga Atletico Madrid nyumbani katika mechi za nusu fainali ligi ya mabingwa Ulaya.

Leo utachezwa mchezo wa pili wa nusu fainali baina ya Monaco ya Ufaransa na Juventus ya Italia.

Pengine macho na masikio ya wapenda soka duniani leo ni kuona mchezaji gani atakayewika katika mechi hiyo inayotarajiwa kuanza saa 4 kasorobo kwa muda wa Afrika Mashariki Monaco wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Stade Luis 2.

No comments

Powered by Blogger.