BENCHI LAMKIMBIZA MORGAN SCHNEIDERLIN MAN UNITED


Hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekua akiichezea Klabu ya Manchester United Morgan Schneidelin amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Everton.

Morgan Schneiderlin anaungana na aliyekua kocha wake Ronald Koeman anayeinoa Everton hivi sasa

Amesaini mkataba wa miaka minne na nusu kwa kiasi cha paundi milioni 24 akitarajiwa kuonekana dimbani kwa mara ya kwanza Jumapili wakati Everton watakapoialika Manchester City.





No comments

Powered by Blogger.