BIG SAM AULA TENA LIGI KUU YA ENGLAND


Aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya England Sam Allardyce ameteuliwa kukinoa kikosi cha Crystal Palace.



llardyce mwenye miaka 62 maarufu kwa jina la Big Sam amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu kuinoa Palace mkataba utakaoisha mwaka 2019.

Uteuzi wa Big sam ni kumrudisha katika ngazi ya juu katika soka la England baada ya kuvifundisha vilabu kadhaa na mara ya mwisho aliifundisha Sunderland na sasa anajiunga na Palace kujaza nafasi ya Allan Pardew aliyetimuliwa baada ya matokeo mabovu.



No comments

Powered by Blogger.