MASHABIKI MAN UNITED WAWAADHIBU MASHABIKI WA LIVERPOOL DAR
Mechi ya kirafiki kati ya Mashabiki wa Manchester United na wale wa Liverpool imemalizika jijini Dar es Salaam kwa Mashabiki wa Manchester united kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa Jakaya Mrisho Kikwete Park jijini Dar ulikua wa kujifurahisha na kutafuta nani mbabe kati ya mashabiki hao.
Mpaka mapumziko timu zote zilikua sare ya bila kufungana licha ya juhudi kadhaa za kutaka kupata bao.
Bao la ushindi la mashabiki wa United lilifungwa na Vonso almeida kipindi cha pili.

No comments