CHELSEA YATUPWA NJE NA WEST HAM KOMBE LA LIGI (Video Highlights)

Siku chache baad ya kusherekea ushindi mnono wa bao 4-0 wakiifunga Manchester United, Chelsea usiku huu wameonja chungu baada ya kutupwa nje na West Ham katoka michuano ya kombe la ligi.



Chelsea imefungwa bao 2-1 na West Ham katika mechi iliyopigwa katika dimba la Olimpiki jijini London.

West Ham ambao sasa wanatinga hatua ya robo fainali walipata mabao yao kupitia kwa Cheikhou Koyate na Fernandes huku Gary Cahill akifunga bao la kufutia machozi dakika za lala salama.

Angalia highlights hapa

No comments

Powered by Blogger.