MAN UNITED YAIADHIBU MAN CITY KOMBE LA LIGI (+Video highlights)

Mechi kati ya Manchester United na Manchester City imemalizika kwa Man United kuibuka na ushindi wa bao 1-0.



Mechi hiyo ilikua ni ya kuwania kombe la ligi zamani likijulikana kama Capital One ambapo mpaka mapumziko hakuna goli lililofungwa.

Kipindi cha pili United ilifanikiwa kupata bao pekee katika mechi hiyo likifungwa na Juan Mata bao lililodumu mpaka mwisho wa mchezo.

Angalia hapa highlights

No comments

Powered by Blogger.