"VITAMIN FOOTBALL" YA AZAM FC YAKUMBANA NA "KIAMA" CHA SIMBA SC
Wahispania wanasifika kwa soka La kuvutia ambalo Wapenda Soka Wamelibatiza jina la Vitamin Football, Soka ambalo Azam FC wameamua kuliingiza katika timu yao baada ya kuajiri makocha raia wa Spain.
Azam FC Baada ya kupata ushindi mfululizo katika mechi 3 zilizopita tena mbili kati ya hizo zikipigwa katika dimba la Sokoine Jijini Mbeya, Wana Lamba lamba hao leo wameshindwa kufurukuta mbele ya Wekundu wa Msimbazi Simba.
Azam Fc Imeambulia kichapo cha bao 1-0 Toka kwa Wekundu wa Msimbazi Simba SC ambao safu yao ya Ushambuliaji imebatizwa jina la KIAMA yani Kichuya,Ajibu na Mavugo.
Goli pekee la Simba katika mchezo huo lilifungwa kipindi cha pili na Kichuya huku mchezo ukiwa ni kushambuliana kwa zamu.
MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO
● Azam FC 0-1 Simba SC
● Mwadui FC 0-2 Yanga SC
● Mtibwa Sugar 2-0 Kagera Sugar
● Prisons 0-0 Mbeya City
● Ruvu Shooting 1-2 Mbao FC
● Maji Maji 1-2 Ndanda FC

No comments