HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MWADUI LEO JIONI

Pamoja na kurejea akiwa fit beki wa kimataifa wa Yanga, Mtogo Vicent Bossou ameachwa nje ya kikosi cha leo dhidi ya Mwadui.


Kocha Hans Van Pluijm ameamua kumwanzisha bench mshambuliaji wake Obrey Chirwa huku akimpa nafasi kiraka Mbuyu Twite kwenye eneo la kiungo.

Donald Ngoma na Amisi Tambwe wataendelea kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Yanga wakisaidiwa na Saimon Msuva na Deus Kaseke pembeni.

Kiungo Haruna Niyonzima aliyekua majeruhi amepona na ataanzia bench katika mchezo wa leo.

Kikosi cha Young Africans SC dhidi ya Mwadui FC leo kitakua kama ifuatavyo

1. Ali Mustafa
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Vicent Andrew
5. Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Simon Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Deusi Kaseke

Akiba;
- Deogratius Munishi
- Nadir Haroub
- Oscar Joshua
- Haruna Niyonzima
- Yusufu Mhilu
- Juma Mahadhi
- Obrey Chirwa

No comments

Powered by Blogger.