SIMBA WAFUNGUA SILAHA ZOTE DHIDI YA AZAM FC LEO

Kocha wa Simba Joseph Umog amepanga kikosi chenye wachezaji wote wake wote hatari msimu huu ili kuhakikisha anaiua Azam FC katika uwanja wa uhuru Dar es Salaam.


Laudit Mavugo na Ibrahim Ajib wataongoza safu ya ushambuliaji wakisaidiwa na kiungo Muzamir Yassin.

Jamal Mnyate na Shiza Kichuya watashambulia kutokea pembeni huku Jonas Mkude akiendelea kuaminiwa katika safu ya Kiungo.
Novaty Lufunga na Method Mwanjali wataliongoza jahazi la Simba katika safu ya Ulinzi

Kikosi cha Simba kitakua kama ifuatavyo...

1.Vicent Angban
2. Janvier Bokungu
3. Mohamed Hussein
4. Novaty lufunga
5. Method mwanjali
6. Jonas mkude
7. Shiza kichuya
8. Muzamir Yassin
9. Laudit mavugo
10.Ibrahim ajib
11.Jamal Mnyate

Wachezaji Akiba

1. Peter manyika
2. Hijja Ugando
3. Emmanuel semwanza
4. Mohamed Ibrahim
5. Hamad Juma
6. Said ndemla
7. Fredrick Blagnon


No comments

Powered by Blogger.