YANGA YAMZIBA MDOMO JULIO SHINYANGA
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga wamefanikiwa kuibuka na Ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Wenyeji Mwadui FC.
Yanga ambayo ilisafiri mpaka Shinyanga kusaka pointi hizo 3 ilifanikiwa kuzipata kwa magoli ya AMISS TABWE na Donaldo NGOMA.
Matokeo ya leo yanairudisha Yanga katika timu za juu katika msimamo wa ligi hiyo ikifikisha pointi 10 sawa na Azam FC huku Yanga ikiwa na faida ya mchezo mmoja ambao bado ni kiporo.
MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO
● Azam FC 0-1 Simba SC
● Mwadui FC 0-2 Yanga SC
● Mtibwa Sugar 2-0 Kagera Sugar
● Prisons 0-0 Mbeya City
● Ruvu Shooting 1-2 Mbao FC
● Maji Maji 1-2 Ndanda FC

No comments