RONALDO NA BALE WARUDI MAZOEZINI REAL MADRID TAYARI KWA MECHI YA KESHO

Vinara wa ligi kuu ya Spain La Liga Real Madrid wameendelea na mazoezi ya mwisho leo kabla ya kuwakabili Villareal kesho katika Mfululizo wa mechi za La Liga.


Cristiano Ronaldo,Gareth Bale na kipa Kaylor Navas wote wamerudi mazoezini tayari kwaajili ya pambano hilo baada ya kuukosa mchezo wa Jumapili dhidi ya Espanyol ambapo Real Madrid ilishinda bao 2-0 kwa kuwa majeruhi.

 Hizi hapa picha za mazoezi ya mabingwa hao wa Ulaya leo.








No comments

Powered by Blogger.