MPAKA MAPUMZIKO CHELSEA TAYARI HOI KWA ARSENAL
Mechi ya ligi kuu nchini England kati ya wababe wawili wa jiji la London Arsenal wakiwa nyumbani kuwakaribisha Chelsea ni mapumziko hivi sasa.
Tayari Chelsea washakubali kichapo cha bao 3-0 mpaka hivi sasa magoli ya Alexis Sanchez,Theo Walcot na Mesuit Ozil.
Je Chelsea wataweza kurudisha na kuibuka na ushindi? Endelea kutufatilia hapa,Facebook,Twitter na Instagram @wapendasokaTanzania.

No comments