HAKUNA MESSI! HAKUNA SHIDA, BARCA YAPIGA 5 UGENINI.
Wakicheza mechi ya kwanza bila Lionel Messi aliyepata majeruhi katika mechi ya katikati ya wiki Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Spain La Liga Barcelona wameibuka na ushindi mnono ugenini.
Barcelona wameweza kuinyuka Sporting Gijon kwa bao 5-0 mchezo wa ligi kuu ya Spain Jioni hii.
Barcelona ilijipatia magoli yake kupitia kwa Neymar aliyefunga hat-trick huku Luis Suarez na Arda Turan wakifunga bao moja moja.

No comments