HAYA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LEO EPL WAKATI MAN CITY WALIPOENDELEA KUZOA POINTI

Kikosi cha Manchester City kinachofundishwa na "fundi" Pep Guadiola kimeendelea kuzoa point katika mechi zake za ligi kuu ya England.


Man City ikiwa ugenini imeitandika Swansea bao 3-1 magoli mawili ya Sergio Aguero na moja la Raheem Sterling na kuifanya Man City kuwa timu ya pekee msimu huu ambayo haijapoteza mchezo wowote wala kutoka sare ikifikisha pointi 18.

MATOKEO YA MECHI ZA LEO


  • Man United 4-1 Leicester City
  • Sunderland 2-3 Crystal Palace
  • Bournemouth 1-0 Everton
  • Liverpool 5-1 Hull City
  • Swansea 1-3 Man City
  • Stoke City 1-1 West Brom
  • Middlesbrough 1-2 Tottenham
  • Arsenal 2-0 Chelsea (Mechi inaendelea muda huu)


No comments

Powered by Blogger.