HII HAPA RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO KATIKA MICHUANO YA EUROPA LEAGUE KWA SAA ZA HAPA NYUMBANI

Mechi za leo Europa League zitaanza saa 12 jioni kutokana na uwingi wa mechi hizo na haki za matangazo ya Televisheni.
Tumekuwekea hapa ratiba kamili ya mechi zote za leo katika michuano hiyo ya pili kwa ukubwa ngazi ya klabu barani Ulaya kwa saa za hapa nyumbani.



6:00 PM - FC Astana vs Young Boys
6:00 PM - FK Qabala vs Mainz
8:00 PM - Ajax Amsterdam vs Standard Liege
8:00 PM - Celta Vigo vs Panathinaikos
8:00 PM - KAA Gent vs Konyaspor
8:00 PM - Shakhtar Donetsk vs Braga
8:00 PM - Krasnodar vs Nice
8:00 PM - Schalke 04 vs FC Salzburg
8:00 PM - Fiorentina vs FK Qarabag
8:00 PM - Liberec vs PAOK Salonika
8:00 PM - Hapoel Be'er vs Southampton
8:00 PM - Sparta Prague vs Internazionale
8:00 PM - FC Zürich vs Osmanlispor
8:00 PM - Steaua Bucuresti vs Villarreal
10:05 PM - Fenerbahce vs Feyenoord Rotterdam
10:05 PM - Manchester United vs FC Zorya Luhansk
10:05 PM - Olympiakos vs Apoel Nicosia
10:05 PM - St Etienne vs Anderlecht
10:05 PM - Dundalk vs Maccabi Tel-Aviv
10:05 PM - Zenit St Petersburg vs AZ Alkmaar
10:05 PM - AS Roma vs FK Astra Giurgiu
10:05 PM - Austria Vienna vs Viktoria Plzen
10:05 PM - Athletic Bilbao vs Rapid Vienna
10:05 PM - Racing Genk vs Sassuolo

No comments

Powered by Blogger.