HAYA HAPA MATOKEO NA WAFUNGAJI LIGI YA MABINGWA JANA JUMATANO
Arsenal wakiwa nyumbani walikua katika ubora wao kwa kuwatungua FC Basel ya Uswis wakati Bayern Munich ikiambulia kichapo cha bao 1-0 toka kwa Atletico Madrid.
Kama ilivyo kawaida www.wwspendasok.com tumekuwekea hapa Matokeo na wafungaji katika mechi zote za jana.
KUNDI A
■ Arsenal 2-0 FC Basel☆Theo Walcott (7', 26')
■ Ludogorets Razgrad 1-3 Paris Saint-Germain
- Natanael Pimienta (15')
☆Blaise Matuidi (41')
☆ Edinson Cavani (55', 60')
KUNDI B
■ Besiktas 1-1 Dynamo Kiev☆Ricardo Quaresma (28')
☆ Viktor Tsygankov (65')
■ Napoli 4-2 Benfica
☆ Marek Hamsik (20')
☆ Dries Mertens (51', 58')
☆ Arkadiusz Milik (54' PEN)
- Gonçalo Guedes (70')
- Eduardo Salvio (86')
KUNDI C
■ Borussia Monchengladbach 1-2 Barcelona- Thorgan Hazard (34')
☆ Arda Turan (65')
☆ Gerard Piqué (73')
■ Celtic 3-3 Manchester City
☆Moussa Dembélé (3', 47')
☆Raheem Sterling (20' OG)
-Fernandinho (11')
- Raheem Sterling (28')
- Nolito (55')
KUNDI D
■ Atletico Madrid 1-0 Bayern Munich☆ Yannick Carrasco (35')
■ Rostov 2-2 PSV Eindhoven
☆Dmitriy Poloz (8', 37')
- Davy Propper (14')
- Luuk de Jong (45'+2')
No comments