DELLE ALLI "AJITIA KITANZI" TOTTENHAM HOTSPURS
Siku zote katika soka Vilabu hutaka kuwatunza wachezaji wao na kuwazuia wasinunuliwe na vilabu vingine na ndivyo walivyofanya Tottenham Hotspurs baada ya kumsainisha mkataba mpya Delle Alli.
Mchezaji huyo raia wa England ambaye anayecheza vyema katika nafasi ya kiungo amesaini mkataba wa miaka 6 zaidi kuichezea Tottenham mkataba utakaomweka White Hart Lane mpaka mwaka 2022.
Delle Alli mwenye miaka 20 hivi sasa alijiunga na Tottenham Mwezi Februari mwaka 2015 akitokea MK Dons akifunga bao 10 katika mechi 46 alizocheza Tottenham mpaka sasa.
Ameshafunga goli moja tu msimu huu wakati Totenham walipoibuka na ushindi wa bao 4-0.

No comments