YANGA NA TP MAZEMBE KATIKA PICHA LEO

Yanga imefungwa bao 3-1 katika mchezo wake wa mwisho katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika hatua ya robo fainali.


Tumekuwekea hapa baadhi ya picha za matukio katika pambano hilo lililopigwa katika dimba la TP Mazembe mjini Lubumbashi






No comments

Powered by Blogger.