UFUFUO WA RAHEEM STERLING WAZIDI KUIBEBA MAN CITY, APIGA BAO 2 NS KUIWEKA JUU MAN CITY

Mambo yanazidi kumwendea vizuri Raheem Sterling katika kikosi cha Manchester City tangu kuwasili kwa kocha mpya Pep Guadiola.


Leo katika dimba la Etihad Raheem alifunga mabao mawili katika ushindi wa bao 3-1 wakiifunga West Ham huku Fernadinho akifunga bao moja pia.

Matokeo ya leo yanawapeleka Manchester City juu katika msimamo wa ligi kuu ya England wakiwa na uwiano bora kabisa wa magoli ya kufunga dhidi ya  Chelsea na Man United.

No comments

Powered by Blogger.