ROONEY KUSTAAFU TIMU YA TAIFA BAADA YA KOMBE LA DUNIA 2018
Nahodha wa England na klabu ya Manchester United,Wayne Rooney ametanabaisha kwamba anataka kustaafu kuitumikia nchi yake baada ya fainali zijazo za kombe la dunia.
Rooney aliyeteuliwa na kocha mpya wa timu hiyo Sam Allardyce kuendelea kuwa nahodha wa England ambayo Jumapili watacheza na Slovakia.
Rooney atakua na miaka 32 wakati wa fainali zijazo za kombe la dunia huko Russia na tayari kashasema baada ya hapo atatandika daluga.

No comments