NASTAHILI KUSHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA ULAYA LEO ~ GRIEZMAN
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Atletico Madrid Antonio Griezmann ameibuka na kusema yeye anastahili kuwa mchezaji bora wa Ulaya mwaka huu.
Griezmann mwenye miaka 25 amekua na msimu mzuri akiwa na Atletico Madrid akifunga magoli 22 katika ligi kuu ya Spain akiifikisha klabu hiyo katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya akimaliza pia kama mfungaji bora katika michuano ya Euro 2016 huku Ufaransa ikimaliza kama washindi wa pili.
Tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya itatolewa leo nchini Ufaransa wakati wa Upangaji wa makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Griezman anawania nafasi hiyo akichuana na wachezaji wawili wa Real Madrid Cristiano Ronaldo na Gareth Bale.
"Ninafuraha sana kuchaguliwa kati ya wachezaji watatu wanaowania tuzo hiyo hii ina maanisha kwamba niko katika mstari sahihi nahitaji kuendelea kufanya vizuri na kuwafurahisha watu ninapocheza"
" Bila kujipa sifa sana nadhani nastahili kushinda tuzo ya mwaka huu kwani nimekua na msimu mzuri nikiwa na klabu yangu na timu ya taifa,nadhani nastahili kushinda" Alisema Griezmann.

No comments