MOURINHO AKARIBISHWA OLD TRAFFORD KWA UKAME WA MAGOLI

Kocha mpya wa Manchester United Jose Mourinho aliiongoza Timu hiyo kwa mara ya kwanza katika dimba la Old Trafford kwa sare ya bila kufungana.
Mechi hiyo ya heshima kwa Nahodha Wayne Rooney ilikua dhidi ya Everton ambayo ni timu iliyomuibua Rooney kabla ya kujiunga na United.

Man United huo ulikua mchezo wao wa mwisho kabla ya kuwakabili Mabingwa wa ligi kuu Leicester City Jumapili katika ufunguzi wa ligi kuu ya England msimu wa 2016/2017 katika mchezo wa ngao ya jamii kwenye dimba la Wembley.

VIKOSI 

MANCHESTER UNITED XI (4-2-3-1): De Gea (Romero 66mins); Valencia (Darmian 66), Bailly (Jones 46), Blind (Mata 66), Shaw (Rojo 46); Carrick (Schneiderlin 46), Herrera (Fellaini 46); Lingard (Mkhitaryan 46), Rooney (Rashford 53), Martial (Young 46); Ibrahimovic (Depay 66)
Subs not used: Johnstone
EVERTON XI (3-5-1-1): Stekelenburg (Robles 46); Funes Mori, Stones, Holgate (Besic 66, Davies 77); Coleman, McCarthy (Kone 66), Barry (Cleverley 66), Barkley (Oviedo 66), Baines (Lennon 66); Deulofeu (Mirallas 47); Lukaku (Gibson 66)
Subs not used: Galloway, Hewelt
Referee: Michael Oliver

No comments

Powered by Blogger.